Mwigulu akisikiliza kwa makini maombi ya Bibi huyu(Hakufahamika jina) katika kijiji cha Kibaya Jimboni Iramba.Mh.Mwigulu Nchemba akimsikiliza kwa makini mmoja ya wazee katika kijiji cha Mtekente Jimboni Iramba.Mh:Mwigulu Nchemba akisikiliza kwa makini hitaji la kijana huyu mlemavu wa miguu kijiji cha Songa-Iramba.Mapenzi kwa Watoto.Mwigulu akimsikiliza Mwananchi wake Mwenye Ulemavu wa Miguu."NIsaidie Mbunge wangu,Baiskel imechoka"MBunge akimsikiliza Mwananchi wake.Mwananchi wa kijiji cha Mingela akiteta jambo na Mbunge wakeMwananchi akitoa zawadi yake kwa Mbunge kwa namna alivyowawezesha kupata Umeme kijijini kwao Mbelekesye.Wananchi wakitoa zawadi kwa Mbunge wao "Deepest Love"Wananchi wakionesha hisia zao kwa Mh:Mwigulu Nchemba.Kazi ya Kusambaza maji Vijiji Vyote vya Iramba visivyo na Maji imeanza.Ujenzi wa Nyumba za Walimu,Madarasa,Nyumba za Watumishi wa Vituo vya Afya kwa kata zote za Iramba umefikia hatua ya Kuezeka bati.Mwigulu amechangia kata zote zaidi ya bati 300 kwa kila kata.
Kazi ya Kusambaza Umeme Vijiji Vyote jimbo la Iramba ilianza rasmi mapema Mwaka huu,Hivi sasa baadhi ya Vijiji vimeshaanza kutumia umeme upande wa kata ya Mbelekesye.
Kazi ya Kusambaza Umeme Vijiji Vyote jimbo la Iramba ilianza rasmi mapema Mwaka huu,Hivi sasa baadhi ya Vijiji vimeshaanza kutumia umeme upande wa kata ya Mbelekesye.
Picha/Maelezo na Festo Sanga
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako