A

A

MAN CITY WAFYATA MKIA KWA YAYA TOURE, SASA KUFANYA MAZUNGUMZO YA AMANI KUEPUSHA SHARI

On the floor: Yaya Toure has sparked a row at Manchester City amid claims the club snubbed his birthday


Comments: Toure's agent Dimitri Seluk said there is a 'big possibility' the midfielder will leave the Etihad Wakala wa Toure, Dimitri Seluk aliibua shari kwa kusema kuwa kuna uwezekano mkubwa nyota huyo kuondoka Etihad
All smiles: Toure is now training in America with the Ivory Coast after his trip to Abu Dhabi with City
Toure amefunga mabao 24 katika mechi 49 alizoichezea Man City msimu uliopita na kukiwezesha kikosi hicho cha Manuel Pellegrini kutwaa ubingwa.
City wameshikilia msimamo wao kuwa Toure hataondoka kwasababu bado ana miaka mitatu katika mkataba wake aliosaini miezi 12 iliyopita  na unampatia paundi laki mbili kwa wiki.