KINANA AZIDI KUBOMOA YA CHADEMA ... VIGOGO MBALIMBALI WA CHADEMA WAJIUNGA CCM
Aliyekuwa
kiongozi wa Chadema, Ismail Gwau, akitupilia mbali bendera ya CHADEMA
mara baada ya kutangaza kujiunga na chama cha CCM,katika Mkutano huo wa
hadhara.
Ismail Gwau, akionyesha kadi mpya ya CCM mbele ya Kinana na kuashiria kujiunga rasmi na CCM,Ikungi mjini.