A

A

MUHIDIN GURUMO (ALIYEKUWA MSONDO NGOMA) AFARIKI DUNIA



Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Habari zinasema kuwa Nguli wa mziki wa bance Mzee wetu Muhidim Ngurumo amefariki dunia mchana siku hii ya leo.
Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki!!


R.I.P Gurumo.