Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya
abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa
vibaya na mafuriko

Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani
Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga.(Picha na Freddy Maro)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma
Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za
mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la
Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na
mafuriko hayo