A

A

NEWZZZ!!Kuhusu Bomu Lililolipuka Usiku huu Arusha na Majeruhi soma hapa


aarifa kutoka kwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa
bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.

Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.