Ushaisikia ile beef ya mashosti hawa wawili hapa bongo ile
story iliyotikisa jiji kutokea kwa jambo ambalo hakuna mtu aliyewahi
kudhani linaweza ku-happen?,hapa tunamuongelea Diva mwenyewe the CEO wa
Endless fame,former miss Tz 2006 na Muigizaji maarufu ,madame Wema
Sepetu,na Kajala Masanja ambaye hivi sasa mbali na kipaji chake cha
uigizaji ni Ceo wa K-intertainment ambae teyari imesharelease movie
mbili zinazofanya poa sana hapa town,Laana na Pishu.
Baada ya
kusambaa romuors mtaani kwamba wanagombea Mr Clement na
matusi yakiwa kila kona ya mtaa huku Kajala haelewi kwanini kila mtu
anamtukana bila ya kujua sababu, hii ndio sababu ya ugonvi wao;
Ulianzia pale wakati Kajala akitengeza Movie yake ya pili inayoitwa
Pishu akifanya na Mzee Senga chini ya Director bora kabisa Tzee Lamata,
wakati wakimaliza movie hiyo maeneo ya block 41 huku kajala akiwa bibi
harusi akimpakia Mzee Vengu kwenye Baiskel Kajala alilowa sana jasho na
kuamua kupitia Saloon maeneo ya kinondoni Makaburini na ndio hapo
alipokutana na Shoga yake huyo na kutaka kumkumbatia lakini Kajala
alikataa na kumzuia kwa mkono kwa sababu ya jasho na ndio hapo Wema
hakuonyesha kufurahi kwa kitendo kile na baada ya hapo ndio akakaa kimya
bila ya kumsemesha rafiki yake huyo
“sina ugomvi na Wema mimi kwani ninachokikumbuka ni kumkatalia
kukumbatia nane tu na hakupenda na nikamuomba msaamaa lakini hakutaka
kabisa kuonana na mimi sasa hao wanaodhani nimechangia nae bwana ni
uzushi tu lakini inaniumiza saan kwani mwanangu anaona matusi
ninayotukanwa kwa kweli inaniumiza sana”said Kajala