A

A

Bidhaa mpya kutoka kwa mrembo Jokate (Kidoti) @JokateM


Screen Shot 2014-04-10 at 2.20.29 PM 
Amekua ni binti wa Kitanzania miongoni mwa Warembo walioonyesha juhudi za kupata pesa zao kwa nguvu na jitihada zako za kihalali na ndio maana millardayo.com inamsupport. Screen Shot 2014-04-10 at 2.20.36 PM