Hii ndio Mpya Kutoka Kwa Magufuli,Azui Kutoa Likizo kwa Watumishi wa Wizara yake hadi Madaraja Yajengwe
Waziri wa Ujenzi Dr. John Magufuli amezuia likizo zote kwa watumishi wa
Wizara ya Ujenzi na TANROADS, ili kushughulikia ukarabati wa madaraja
makubwa zaidi ya 5 ya kuunganisha mikoa, ambayo yamebomolewa na mvua
zinazoendelea kunyesha.