TAZAMA PICHA ZA MASHABIKI WA AZAM FC WALIVYOJAZANA UWANJA WA NDEGE KUISUBIRIA TIMU YAO KWA HAMU
Umati
wa mashabiki wa Azam FC wamefurika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Dar es Salaam wakiisubiri timu yao
inayotokea jijini Mbeya kuwasili wakiwa wametazwa kuwa mabingwa wapya wa Vodacom Premier League.
Azam FC jana walitawazwa kuwa mabingwa wapya baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Mbeya City.