A

A

Gari dogo laangukiwa na lori lenye mchanga Makongo


Picha za ajali iliyotokea asubuhi ya leo huko Makongo jijini Dar es Salaam ambapo lori lililokuwa limebeba mchanga lililiangukia gari dogo.

Juhudi za Askari wa Jeshi la Wananchi wakishirikiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji zilifanikisha kumnasua kutoka kwenye mchanga dereva wa gari dogo mendo wa
saa moja u nusu hivi asubuhi baada ya kuwemo ndani ya gari hilo tangu saa 11 afajiri.
Dereva huyo alipelekwa hospitalini kwa uchunguzi na matibabu zaidi.






Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari.


Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa.