Catherine shawa mamaa Ya sembe , sister duu muuza sembe aliebakia baada Ya beach baby kukamatwa (jacky Cliff) na walikua mabeste kabla Ya ugomvi wao maana Catherine ndio alimpa mchongo jacky baada Ya jacky na jacky akashika usukani vizuri tenda nyingi alikua anapewa yeye wivu kidonda ndio makwaruzano yakaanza wakawa paka na chui ila enzi zao walikua poa sana ... Harafu jamani hawa wauza sembe mademu wanapenda sana kujiita ma boss lady hahaha ni shiiida!! Na shooping zao ni CL, LV magucci yaani wao na majina tu na kuringishia pesa ... Catherine nakupenda tulia tu umlee mwanao sasa Leo ukishikwa maana njia zote zinakaba yaani pamekua pagumu sasa ukienda jela jamani mwanao atalelewa na nani na hivi baba mwenyewe haonekani hizo safari ulizoenda zinatosha tulia ufungue biashara au ndio pesa Za shetani hua hazikai ?? Trip Za Ghana, Nigeria, brazil zinatosha mama ... Si unaona mjin sasa hivi hapafai kabisa ! Fanya mambo basi hata baadae uje usemw kweli niliuza unga dondosha mjengo , hizi CL ni mpito tu ukishavaa mara mbili tatu hutaki tena ila Nyumba ni asset Ya kudumu.....Agness Masogange sasa hivi katulia hata fujo Za kuonyeswha pesa hana sasa hivi tunaonyeshwa makalio tuuu...