DADA WA DIAMOND APEWA ZA USO BAADA YA KUKOSEA KINGEREZA INSTAGRAM. JIONEE HAPA
Watu
hata hawana huruma ..Hawachelewishi kitu ..baada ya Mwanadada halima
Kimwana Ndugu yake na Diamond Kupost Picha Akiwa na Penny Mpenzi wa
Diamond wa zamani na kuandika Caption ya Kingereza Kibovo (Bcz we Happy)
Watu waliidaka hiyo Picha na Kuanza Kuichambua kama Karanga