Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi
aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer
kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa
Homeboyz Production ya Kenya, wawili hao wameendelea kuwa karibu kiasi
cha kutoonesha ‘uhusiano wa msanii na producer’ wake kama walivyosema.
Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha

producer
huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi
Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.
Hawaachani
Kaka yake Sappy, Nazizi na Sappy
Nazizi akivaa nguo za brand ya Sappy
Sappy na Nazizi wakiwa safari kwenda Mwanza (kwa mujibu wa maelezo yaliyoandikwa kwenye picha hii ya Instagram)