A

A

Video: Hivi ndivyo Spain walivyoendelea kuionea Italia


article-2574256-1C1212A700000578-606_636x401Mabingwa wa Dunia timu ya Taifa ya Spain jana iliendeleza rekodi yake nzuri dhidi ya Italia baada ya kuifunga kwa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Bao la Spain lilifungwa na Pedro

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako