Video: Hivi ndivyo Ronaldo na wenzie walivyoiadhibu Cameroon
Cristiano
Ronaldo jana aliingoza Ureno kuitandika timu ya taifa ya Cameroon kwa
mabao 5-1 katika mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo mbili za taifa.
Mabao ya Ureno na Ronaldo dakika ya Ronaldo 21, 83, Meireles 66,
Coentrao 67, Edinho 77. Aboubakar aliifungia Cameroon bao la kufutia
machozi
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako