A

A

Video: Brazil vs S.A – Hiki ndicho Neymar na wenzake walichoifanya South Afrika jana


article-2574058-1C0FCE6800000578-861_634x449Mabao matatu ya mwanasoka Neymar anayekipiga Barcelona, yaliisaidia timu ya taifa ya Brazil kuiadhiri South Afrika katika rdhi ya nyumbani kwao.
Katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa huko South Afrika, Brazil waliifunga SA 5-0, Neymar akifunga hat trick, Oscar na Fernandinho wakimalizia mengine

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako