A

A

Angalia video na matokeo ya mchezo wa Ufaransa vs Uholanzi


article-2574176-1C11BAB800000578-887_636x443Mchezo wa kirafiki kati ya Uholanzi dhidi ya Ufaransa uliopigwa jana ulimalizika kwa Ufaransa kuitandika Uholanzi mabao 2-0 .
Mabao ya Ufaransa yalifungwa mshambuliaji Karim Benzema na kiungo Matuidi anayekipiga PSG.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako