Rekodi Mpya kwa Uchumi wa Tanzania,Sasa niya 12 kwa Uchumi Barani Afrika
Kwa
mujibu wa ripoti ya shirika la kijasusi la Marekani, CIA iitwayo The
World Fact Book, Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika na 83
duniani.. Maoni Yako???
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako