Inspector Haroon anamshukuru Mungu kwa kumjalia kipato kilichompa hili gari kwa sasa
Inspector
Haroon ambae ni msanii wa bongoflevani kwa muda mrefu toka time hiyo
yuko na mshkaji wake Luteni Kalama kwenye kundi la Gangwe Mobb, ameshea
picha ya gari analotumia sasa hivi na kumshukuru Mwenyenzi Mungu.

Hiki hapa chini ndicho alichokiandika baada ya kuweka picha ya gari lenyewe.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako