Mtu mmoja amekufa papo hapo na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya
basi la kampuni ya Sai Baba walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es
Salaam kwenda Kyela mkoani Mbeya kupinduka katika kijiji cha Mwambegele
wilayani Rungwe.
Video ya ITV iliyopachikwa hapo chini ina taarifa zaidi...
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako