Sexy Na Beautifu Miss Marya amerudi Gym kurudisha muonekano wake
aliokuwa nao nyuma kidogo. Kama inakumbuka Marya alikuwa na muonekano
wa kipeke kwa
wasanii wa Kenya na kama ungekutana nae kwa mara ya Kwanza
fikra za kuwa yeye ni Model zingekujia.
Sasa mazoezi yameanza kurudisha mwili wake Unaweza sema “she is Bringing Her sexy back”
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako