BREAKING NEWS Mwenyekiti wa bunge la katiba ameamua kuahirisha kikao kilichokua kinaendelea mfupi uliopita baada ya mvutano mkali na kutishiana makonde kuibuka kati ya wabunge kila mmoja akijinadi kujua zaidi kanuni za bunge zaidi ya mwenzake.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako