Kama wengi tunavyo fahamu Amber ni mke wa rapper Wiz Khalifa na
sasa wana mtoto moja kwenye familia yao. Picha iliyosamba hivi karibuni
inaonyesha mke wa
Wiz Khalifa, Amber Rose akishikwa visivyo na shabiki
aliyetoka mbali kuja kumuona star huyo.
Kwa mujibu wa Amber shabiki huyu amendesha gari kwa saa 17 kuja kumuona Amber Rose.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako