A

A

Harambee! Watanzania Wisconsin wazuia kuchomwa mwili wa Mike Lukindo


Augustino Michael "Mike" Lukindo

via Luke Joe -- Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto mwili wa mpendwa wetu Augustino Michael "Mike" Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadiri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu kwani gharama za mazishi ni $6,000.

Tafadhali tuma mchango wako kwa AC ya Memorial for late Mike Lukindo

Benki ni Madison Chase Bank 

AC# ni 579362299

Route ni 075000019

Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu, msiba huu ni wetu sote. Chochote utakachokua nacho kitasaidia kumzika ndungu yetu Mike.

Asante!