A

A

[video] Marufiko Dar es Salaam: Wakazi wasema, "Hii hali imeshatuchosha"

Mvua zilizonyesha juzi na jana usiku kucha jijini Dar es Salaam zimesababisha madhara makubwa katika maeneo mbalimbali kama vile uharibifu wa vyombo vya usafiri na nyumba kiasi cha kulazimisha watu kuyakimbia makazi yao ili kujinusuru huku wengine wakishindwa kwenda makazini na wanafunzi kutokuweza kuhudhuria masomo shuleni.
Hapa ni video 3 za taarifa ya ITV zikionesha athari za mafuriko hayo katika maeneo ya Mikocheni-Msasani Village, Mwananyamala, Uhuru-Kariakoo, Keko Mwanga, Makumbusho na Kinondoni-Ada Estate, Tegeta-Boko-Bunju.

Eneo la Mikocheni