Wasanii
wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa
kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa. Akizungumza na U
heard ya XXL, Clouds FM leo,Shilole na Nuhu wamesema wanapendana sana na
wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.
“Tunajipanga mambo fulani yakae sawa pamoja na mke"alisema Nuh Mziwnda
Ki
kweli tuna kama miezi miwili mitatu na tunapendana kweli yeye
ananipenda na mimi nampenda yeye yupo real kwangu na mimi nipo real
kwake nilikuwa na
girlfriend kipindi hicho tumeachana , tumegombana si unajua nimekaa kipindi kirefu bila ya kuwa na Girlfriend ,yaani mambo yalifanya tukaonana tukapendana hivyo.
girlfriend kipindi hicho tumeachana , tumegombana si unajua nimekaa kipindi kirefu bila ya kuwa na Girlfriend ,yaani mambo yalifanya tukaonana tukapendana hivyo.
First
time nakumbuka ilikuwa studio alikuja studio kijitonyama nilikuwa zangu
natengeneza beat skeleton tukaongea mambo mengi ya kimaisha hatukua in
deep sana kihivyo ila tulivyo endelea kujuana tukaona kila mtu kamzoea
mwenzake mimi nikiwa mbali anakasirika na mimi nikiwa mbali na yeye
anakasirika end of the day tukapendana yakawa mapenzi naye Shilole anasema kweli anampenda Nuh
"Sijamkana
nuh,na kwanini nimkane kwa sababu gani?yeye ananipenda na mimi
nampenda" alisema shilole na kusema yupo tayari kufunga ndoa na msanii
huyo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako