A

A

Nimeamkia Ziwa Tanganyika hii leo(Kigoma),Picha hizi hapa

Picha,Ziwa Tanganyika Kwa Mbali likonekana Upande wa Kigoma,Hii ni asubuhi ya tar.06/03/2014 katika pitapita za Habari Kwanza Blog imejikuta ikitegesha Camera yake kwenye hili Ziwa lenye Kina Kirefu zaidi Barani Afrika na kama sio Ulimwenguni

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako