Sasa hivi imekuwa kama
fashion kwa wasanii wa kibongo bongo kuweka kila kitu wanunuacho
mtandaoni alafu kukaa kusubiri madai na ushauri wa wadau wao, tangu
mwaka huu uanze imekua ni kama stail mpya maana wasanii wamekuwa
wakionesha nyumba wanazojenga, magali waliyonunua ikiwemo hata simu kali
wanazomiliki. Leo katika pita pita yetu mtandaoni tulibahatika kukutana
na picha ya gari aliloweka Video Vixen Agness Gerald wengi wao
wanamfahamu Agness Masogange. Katika picha hiyo Masogange hakuandika
chochote zaidi ya alama ya kopa, ndipo wadau wakafunguka na kusema kuwa
Ni gari yake mpyaa aliyomenya hivi karibuni. Tazama picha za gari hiyo
hapa chini na kama ni yake basi ni hatua nzuri kwake, ndiyo watu maarufu
wanavyoishi bongo, NYUMBA ZA KUPANGA, MAGARI YENYE THAMANI YA KIWANJA.




No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako