Binti
huyu analipwa ujira wa sh 50 kwa kila tofari mbili anazobeba kupeleka
umbali wa mita kama 500 lakini Kuna Mibunge ya katiba inagomea posho ya
sh 300,000/= kwa siku yaani bora Mweshimiwa Rais alivunje bunge Hilo la
katiba(Picha na Maelezo kwa Hisani ya Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu.)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako