A

A

Picha ya Kamikaze inayoonesha Fuko la Fedha,Vijana Bongo Wapagawa

MSANII ANAYE FAHAMIKA KAMA CYRILL KUMBE ANAMILIKI MIHELA YA KUTOSHA,MDAKU  ANATUHABARISHA KUWA MSANII HUYU APOST PICHA HII INSTAGRAM AMBAPO KAONESHA MAHELA KIBAO NA KWA MADAI KUWA HIZI NI ZILE ZA KUKU, BADO ZA NDAMA HAJAZIONESHA, HAPA KWELI NI SHIDA TULIJUA HIZI ANAZO DIAMONDPLATNUMZ NA AKINA JIDE KUMBE KUNA WATU WAMETULIA TU, TAZAMA PICHA HAPA ALIYOPOST NAWE USHANGAE HIZO HELA ZA NDAMA

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako