
Ukiingia Jengo la Utawala,Moja kwa Moja unakutana na hii Njia inayopita kwenye Kigoda Cha Mwalimu"M-Degree" na baadae kwenye Nkurumah Hall.
Huu ndio Mti Mkubwa unaoitwa "M-Digrii",Hapo awali(Miaka ya Kwanza ya Chuo Kikuu ch Dsm) eneo hili lilikuwa linatumika kwaajili ya Kutolea Shahada ya Elimu ya Juu.Pia ni sehemu maarufu kuwa Mwal.Nyerere alikuwa napenda kukaa hapa wakati akijisomea.
Academic Bridge,Hapa hujafika Mlimani,Hujapita hapa.
Ukisha maliza Academic Bridge unakutana na Njia hii kwenye miti Mizuri kuelekea eneo la Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dsm.
Natokea Nkurumah Hall kuelekea Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dsm.
Jengo la Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dsm
Maeneo ya Maktaba ya chuo Kikuu Cha Dsm.



Chuo Kikuu Cha Dsm kinaeneo Kubwa sana lililojaa Miti yenye Kivuli Kizuri,Nyasi zake zimekuwa zikihudumiwa Muda wote.Hakika ni Moja ya Chuo chenye eneo Kubwa sana na linalovutia kutokana na Usafi wake.
Naelekea Hall Five au?
Jengo la Cafeteria Kwaajili ya Chakula Kwa Wanafunzi.
Picha zote na Camera ya Habari kwanza Blog
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako