Video Queen Agnes Gerald wengi humjua
kama Aggy Masogange, leo mchana alikuwa ametulia kwenye beach moja ya
hapa jijini akiwa anaenjoy na marafiki zake ikiwa ni moja ya starehe
zake kama sehemu ya mapumziko yake kwenye kuogelea. Model huyu siku si
nyingi utamuona kwenye video mpya ya Tunda Man inayoitwa Msambinungwa
akiwa na Big Brother Mwisho Mwampamba, hii itakuwa ni video yake ya
kwanza kwa mwaka huu 2014 kuonekana baada yakukaa kwa muda mrefu bila
kutokea kwenye video ya msanii yoyote hapa bongo. Stay Tune
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako