Sehemu ya nyumba ya Ndugu Aden Mwambugu ambamo Ndugu Honest Shoo alikuwa amepanga ikiwa imeteketea kabisa.
Mjomba wa Marehemu akiwa amebeba mwili wa mtoto Clara Honest ambae ana
umri wa miezi mitatu mwili wa mtoto huyo umeteketea kwa moto
Chumba ulimokutwa Mwili wa marehemu Clara Honest
Mwenyekiti wa mtaa wa Block T Ndugu Majembe akimwongoza Honest Shoo
ambaye ni mfanyakazi wa Bank ya Posta kitengo cha masoko (mwenye shati
nyeupe) kwenda kutoa maelezo kwa polisi waliofika katika tukio.
Mama mzazi wa mtoto Crala akilia kwa uchungu kulia ni binti wa kazi
Chanzo cha moto huo hakijajulikana:GREDIT:MATUKIO NA VIJANA
Picha kwa hisani ya
Luhanga
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako