Soma na Sikiliza namna Faraja Kota alivyomsifia Mme Wake Waziri Nyarandu"Wengine Washamba"
Miss
Tanzania wa 12 tangu mashindano hayo yaanze nchini Tanzania Faraja
Nyalandu Kota Miss Tanzania 2004, yeye aliolewa na mwanasiasa waziri wa
mali asili na utalii Mh Lazaro Nyalandu, sasa leo ndani ya 255 Miss
Tanzania wa mwaka 2004 Faraja Nyalandu anafunguka jinsi walivyokutana na
mheshimiwa mpaka wakaja kufunga ndoa.
Faraja Nyalandu Kota akafunguka anavyojiskia na anacho experience ndani ya ndoa na mwanasiasa.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako