Katika mchezo huo Sociedad walianza kuliona lango la Barca mapema
katika kipindi cha kwanza, lakini Lionel Messi akaisawazishia Barca.
Kipindi cha pili Antoine Griezman akaifungia tena Sociedad, kabla
ya David Zurutuza kupigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako