Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhani wake |
Sima Kazaura (202 413 9184) anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyoada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu msiba hapa DMV upo 21, featherwood court apt 14, Silver Spring MD 20904.
Tutazidi kukufahamisheni mambo yanavyoendelea katika msiba huu hapa DMV na nyumbani Tanzania.
Sima, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
--
Luke Joe, Vijimambo Blog
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako