A

A

Tahadhari,Picha ya Mwili wa Dreva aliyeteketea hii leo Kwenye Ajali ya Roli Mikese-Morogoro


Baadhi ya watu waliokwama kijiji cha Fulwe kata ya Mikese mkoani Morogoro wakiangalia mwili wa dereva wa lori lililobeba shehena ya mafuta lililokuwa likitoka Dar kueleka upande wa Morogoro, ukiwa umeteketea vibaya kwa moto baada ya ajali.
Mwili wa dereva wa lori la mafuta ukiwa umeteketea kwa moto.
Wananchi wakibeba mwili wa dereva wa lori ulioteketea kwenye moto.
(PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL, MOROGORO)

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako