Picha hii ya Wema Sepetu na Njemba moja hivi,Yadaiwa wanajiandaa Kuigiza Movie
Gabo amesema tayari wameshaanza kushoot filamu hiyo. “Kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema,ambayo ipo chini ya Endless
Fame Film, kwahiyo ni ya Wema. Wema alinitafuta akasema tufanye kazi,
ndio ambayo tunafanya,” alisema Gabo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako