Asasi za kiraia zinazofuatilia na kuangalia mwenendo wa utendaji kazi wa
Bunge maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma zimetishia
kuusimamisha mchakato huo mahakamani ama kwa kuushtaki kwa wananchi
kutokana na kitendo cha uongozi wa bunge kuimarisha ulinzi kwa kiasi
kikubwa jambo ambalo linawatishia wabunge na wananchi kuwa huru
kufuatilia na kutoa maoni yao kuhusu namna ambavyo mchakato huo
unaendelea.
Video ya taarifa ya ITV inaeleza zaidi...
Video ya taarifa ya ITV inaeleza zaidi...
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako