Sina hofu ya kupoteza kiti cha Ubunge wala kwenda mahakamani ili kulinda
haki za wakulima wa chai Bumbuli.Kitu ninachopenda kuona ni wakulima
wanaomiliki kiwanda cha chai Mponde kupitia umoja wao wa Usambara Tea
Growers Association (UTEGA) huku wakipata bei stahiki wanapouza chai yao
na pia kunufaika na hisa zao katika umiliki wa kiwanda kupitia umoja
wao tofauti kabisa na ilivyo sasa.
Hii ni post aliyoandika January Makamba ambaye ni mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Hii ni post aliyoandika January Makamba ambaye ni mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako