.
Mzee Yusuf akiwa kwenye jukwaa alipofanya makakmuzi ya nguvu mjini
London, Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kukonga nyoyo za
mashaniki wa taarab wa Uingereza.
Mashabiki wa mopasho wakishindwa kujizuia walipopanda jukwaani
sambamba na Mzee Yusuf aliyefanya makamuzi ya nguvu jijini London
Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kuachengua vilivyo mashabiki
hao.
Mdau namba wani wa Mzee Yusuf akipata ukodak moment baada ya
kupagawishwa na mipasho ya mwanamuziki huyo wa anayetesa kwa sasa ndani
ya Bongo na kwa Watanzania walliopo nchi za watu
Mashabiki wakishindwa kujizuia kwa burudani la kukata na shoka kutoka
kwa mfalme wa Taarab kutoka Tanzania alipotia nanga mjini London kwa
show ya kukata maini aliyofanya siku ya Jumamosi Feb 8, 2014.
Mwana Bloga Jestina George kiti kilikua hakikaliki kwa mipasho ya
Mzee Yusuf alipofanya makamuzi ya kufa mtu siku ya Jumamosi Feb 8, 2014
mjini London, Uingereza.
Mlimbwende akienda sambamba na Mzee Yusuf jukwaani.
Picha kwa hisani ya Jestina George Blog
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako