A

A

Picha za Usiku wa Ommy Dimpoz Huko California-Marekani Ulivyobambataa

 Mwenyekiti wa Tawi la CCM Josephine Masabala akipata Ukodak na Ommy Dimpoz
 Katibu wa Tawi la California Erick Byorwango na Stella Byorwango wakipata
Ukodak na Ommy Dimpoz
Katibu Mwenezi wa Tawi la California Jane Maloda na Penina Mshiu  wakipata Ukodak na Ommy Dimpoz
Mwenyekiti wa Tawi la Chicago na Promoter Mashuhuri Tina Lupembe akipata Ukodak na Poz kwa Poz
Tina Lupembe na Regina Kwenye Poz kali
Angela, Josephine, Tina, & Regina
Promoter Extraordinaire J & P Ent. akiwa na Msanii Mbongo Erica anayeishi San Fransisco - Erica Alifungua Show ya Ommy Dimpoz
Josephine na Tina
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Ommy Dimpoz akila Poz na Mwajuma na Steve
Bwana Ligate akiwa na Mabebs wa Ukweli Tina na Regina
Mzee mzima Kapuya
Ommy Dimpoz na Mwajuma kwenye Pozi zito

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako