A

A

Jengo hili hatari kwa Usalama wa Ikulu ya Nchi yetu,Waliojenga hii leo Kusuka ama Kunyoa

 
Hukumu ya jengo refu jirani na Ikulu leo

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili wa Wakala wa Ujenzi, inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam..

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako