A

A

Nimeamua Kuungana na Serikali,Mashine za EFD Kwa Manufaa ya Uchumi Wa Nchi

Nimenunua Maji,Nimedai Risiti Yangu,Yaani Mashine za EFD kiboko ya wakwepaji wa Kodi.Usikubali kuingia kwenye Maduka Makubwa na kuuziwa bidhaa bila kupewa Risiti.Mazingira ya Biashara yakuongoze Kudai Risiti.
Tuunge Mkono TRA Kuwabana Wafanyaboiashara Kutumia Mashine za EFD ilikukusanya pato halisi la Kodi ya Biashara/huduma.Serikali imesema haitarudi Nyuma kwenye hili,Mfumo wa Ukusanyaji Kodi kupitia Mashine za EFD Upo Kisheria na Ulipitishwa na Bunge la JMT.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako