Avril Kufunda ndoa sehemu hii ya Tanzania
Msanii wa kike kutoka nchini kenya , Avril anategemea
kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu. Avril ataolewa na
mchumba wake mtoto wa tajiri kutoka South Africa ambaye familia yao
inamiliki machimbo ya madini nchi za South Africa na Zimbambe.
Harusi hiyo inategemea kufugwa hapahapa Tanzania katika kisiwa cha
zanzibar . Wameamua kuchagua Tanzania ili kubalance pande mbili na mwezi
wa 4 sababu ndio mwezi aliozaliwa avril.
Avril alishawahi post katika mitandao ya
kijamii mwishoni mwa mwaka
jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini
mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya
mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako