Kufuatia picha na video inayomwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti Boss wake wa zamani CEO wa mtanashati Ustaadh Juma na musoma, lawama nyingi zimemwangukia Ustaadh kwa kuziweka picha hizo mtandaoni
Siku ya jana PNC hakuweza kupatikana ila leo 255 ya xxl ya clouds fm imepiga naye stori.
Msikilize PNC akifunguka
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako