Mbwembwe Zote za Hemed yule wa Bongo Movie,Kwa Mwanamke huyu ndio Kafika
Usiku
wa Kuamkia Tarehe 27 Feb 2014 sammisago.com imekutana na hizi picha za
Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana
na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi. imethibitisha kuwa picha hizi zimetokana na scene za
filamu wanayoigiza pamoja na kuwa Hemedy sasa ni Mwanaume wa mwanamke
mmoja tu. Binti Huyu Anaitwa Mounah. Hii Picha Wakiwa Pamoja. Hizi Ndio Picha Akimpa Busu Najma
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako