A

A

Hatimaye Kitale anunua Ugomvi baada ya Msanii PNC Kudhalilishwa na Ustaz Juma,Hii hapa

Msanii wa Comedy Kitale ameamua kununua ugomvi wa msanii wa Bongo Fleva,PNC na Ustaadh Juma na Musoma baada ya kumdhalilisha msanii huyo kwa kumrekodi video na kumpiga picha na kuzisambaza mtandaoni.Baada kuziona picha hizo Kitale aliamua kumpigia simu Ustaadh Juma na kuuliza kwanini ameamua kufanya kitendo hicho cha kidhalilishaji ambapo Ustaadhi Juma alimjibu mbovu.
Zaidi msikilize Kitale akitiririka.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako