A

A

Fahamu Kuhusu Msanii AKON alivyosaidia Kuingiza Umeme zaidi ya Nyumba Mil.1 barani Afrika

Si kuamua tu kuongelea suala la kumiliki mke zaidi ya mmoja, kama vile King Mswati.
Staa wa muziki wa Kimataifa,Akon kutoka pande za Senegal ameamua kuligeukia Bara la Afrika na kutoa msaada unaostahili akishirikiana na makampuni yaliyojitolea katika kampeni hiyo iitwayo Akon Lighting Africa.Kwenye mradi wa mazingira wa kusambaza umeme kwenye makazi ya watu barani Afrika.
Inasemekana kwamba mradi huo ambao umekadiriwa kwamba mpaka itakapofika 2015 makazi zaidi ya million 1 barani Afrika yatakuwa yamepatiwa umeme kupitia mradi huo wa kusambaza umeme wa sola.
Tayari ameshatembelea nchi zaidi ya nne kwa ajili ya mradi huo ikiwemo Senegal, Mali, Guinea na Burkina Faso.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako